ipo kama unatumia android ingia playstore tafuta vpn yoyote umemalzaWadau kuna website moja ya marekan nilikuwa najaribu Ku sign up lakini sikufanikiwa kwa kuwa ni lazima uwe ndani ya usa .sasa naomben mnijuze hakuna trick ya kufanya nionekane niko usa ili niweze kusign up katika hyo website ?