Tigo Announced this to their Facebook Page Today.
Sasa Usiku ni wako ukiwa na video za bure kutoka Tigo.
Furahia kuangalia video za YouTube bure usiku mzima bila kutozwa gharama za internet...
Wakuu kuna connector moja inatumika kuunga kingamuzi na deck yani input zipo sita then output ni Tatu zinaenda kwenye Tv hichi kidubwasha kinaitwaje? kina switch katikati yani ukiswitch huku...
Wakuu habari zenu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Laptop yangu imekuwa na tabia hiyo,nikiwa naitumia ghafla inastop kuplay (kama ni mziki au movie or any App in use) alaf screen inakuwa...
Wakuu habari ya majukumu,naomba mnisaidie nimeshrink disk yenye window then ikatengeneza unallocated free space disk sasa nataka hii disk niiweke kwenye local disk D.Je nitafanyaje kufanikisha...
habari ndugu zangu. Naomba kwa ambae lilishawahi kutokea hili kwake anisaidie nijue kama natendewa haki na Vodacom Mpesa.
Tarehe 3.3 nilikua natoa pesa bahati mbaya nikakosea nikatuma kwa...
Wakuu,
Noamba ushauri. Nataka kununua modem kwa ajili ya WiFi kwa matumizi ya nyumbani, hivyo users watakuwa kama 5 au 6. Sasa hivi kuna hii ya TTCL Huawei 4G, na pia kuna Airtel 'Wingo'. Najua...
Wadau hawa jamaa wa Zuku wametoka hapa kwangu sasa hivi kujipigia debe ili ninunue king'amuzi chao,sasa kwa anaejua tafadhali anijuze vipi kuhusu ubora wa matangazo yao na uzuri wa channel...
Wakuu wenye utaaluma jinsi ya ku delete account ya twitter mfanao jina @Xy .. na Account ya Linked in naomba anaelekeze...
Natanguliza shukran za dhati..
Guys nmepata notification ya official update ya Samsung note 4 ipo tayar kwa ajili ya matumizi kuna vitu vingi vilivyoongeza kama ni mtumiaji na unahitaji msaada naomba nikujue
Naomba kusaidiwa kama kuna mtu anafahamu links ya kudownload drivers manake kuna baadhi ya program nikizi install hazimalizi installation kabisa zinakataa kwenye PC yangu kuna mtu akanishauri...
Natafuta jinsi ya kufungua ports kadhaa kwenye Modem ya 4g. Hii ni kwa kusudi ya kufungua NAT type kwenye PS4/ Xbox.
Naomba msaada kwa wakuu wa hapa kama Chief-Mkwawa na Njunwa Wamavoko.
Kama...
Habar wanajf,,
Ninatumia simu ya Tecno Y3± za tigo yenye line mbili, ila line1 inaruhusu kutukia tigo pekee..je kuna uwezekano wa kuflash iyo line1 itumie line za mitandao mingine??
Wataalam naomben maelekezo ya namna naweza fanya installation ya whatsapp kwenye ipad nmejaribu kwa namna ya kawaida lkn inakataa kuoperate. Mwenye mwanga zaid. App nyingine km viber, jamii...
Hi wadau,
Sipati notification kwenye apps kama Jamiiforums, instagram, though kwenye notification centre nimeruhusu notification kwenye iphone 5 ios 8.0.2........
mawazo yenu wadau?
Thursday 21 April 2016
The Xbox 360 was launched in 2006
It's the end of a gaming era - Microsoft says it is to stop manufacturing the Xbox 360 console after more than a decade.
The console -...
Msaada jaman wana jamii naitaji kuwa na blog muziki sa ilikupata blog iloyokamilika kabisa ambayo ni ya music natakiwa niwe na kiasi gan cha pesa na itakua na vitu gani ambavyo vitafanya...
Katika vifaa vya umeme wa solar...kuna kampuni nyingi sana zinatengeneza hivi vifaa ikiwamo panel battery radio tv taa pasi friji.. ...
Moja ya kampuni ambavyo vifaa vyake vipo chini ni:-
1...
Habari za leo wakuu?
Nime Google namna ya kuunda Gaming pc nkaona labda nitaweza lakini kwa hapa TZ sijui ugumu wake utakuwaje kwasababu ya upatikanaji wa vifaa. Nina malengo ya kuunda Gaming pc...
Baada ya kusoma sana prons and cons ya kuroot nimegundua wengi wanaojuta baada ya kuroot huwa wana delete system file la simu sasa kwa hiari yangu bila ya kushawishia na mtu nataka kuroot simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.