Wataalam wa PC msaada wenu unahitajika hapa.

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Naomba msaada wa maelekezo namna ya kutatua hilo tatizo la drivers kwenye pc ( dell latitude d630 )
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
kcamp
 
Attachments

  • 1461080152008.jpg
    1461080152008.jpg
    55.8 KB · Views: 47
Naomba msaada wa maelekezo namna ya kutatua hilo tatizo la drivers kwenye pc ( dell latitude d630 )
Chief-Mkwawa
Mwl.RCT
kcamp

Nenda official website ya dell.
search drivers za aina ya PC yako (kama ni laptop au PC).
Angalizo. Drivers za computer pia upatikana kulingana na region uliko nunua hiyo computer yako (Note hii). Kama ulinunua Europe/ America/Asia etc search kwa kuzingatia official website ya dell ulikonunulia laptop/PC yako.
Mfano: kama umenunua England www.dell.uk, Kama ni Sweden www.dell.se etc

Utapata hizo drivers free.
 
Poa poa kiongozi nimesha zunguka sana mitandani nao mb zinaenda tu suluhu sipati.
Ndio nikaamua nije hapa penyewe wengi huwa hapa haribiki kitu.
 
Nenda official website ya dell.
search drivers za aina ya PC yako (kama ni laptop au PC).
Angalizo. Drivers za computer pia upatikana kulingana na region uliko nunua hiyo computer yako (Note hii). Kama ulinunua Europe/ America/Asia etc search kwa kuzingatia official website ya dell ulikonunulia laptop/PC yako.
Mfano: kama umenunua England www.dell.uk, Kama ni Sweden www.dell.se etc

Utapata hizo drivers free.
Kwa nyuma kuna label imeandikwa made in malaysia.
 
Labda nielezee kwanini hizo drivers zinanipa shida.
Ninachotaka kukifanya ni ku fanya backup ya ROM ya simu yangu kwa kutumia MTK Droidtool. Ili badae nije nitumie Sp flash tool ku flash simu yangu endapo itazingua maana kwasasa ipo rooted.
Swali langu ni jee Hiyo driver ya biometric comprocessor ina uhusiano wowote na kazi ninayo taka kuifanya?

haina, ila adb inayo
 
Back
Top Bottom