Habarini zenu wadau
Nahitaji msaada wa fasta hapa kwa wakali wangu mwenye uzoefu wa mambo ya laptop hardware na software....
Ni hivi nimebadilishana na wife laptops........kanipa yake me nimempa...
Habari wana JF
Nimekuwa nikisupport ofisi mbali mbali za jijini Dar Es Salaam software zifuatazo:
1.Pastel Partner
2.Sage Evolution
3.Sage Payroll
4.Sage HR
5.ERP Tally
Yeyote anayetaka kujifunza...
WhatsApp ndio App inayotumika sana katika kutuma na kusoma meseji. Uzuri wa App hii ni kwamba ni rafiki kwa watu kwani ni rahisi sana kuitumia. Kwa hili watu wanaipenda lakini vipi kama ukiwa...
Dunia inabadilika jamani!
Chuo cha Georgia Tech kilichopo Atlanta Marekani sasa kinatoa Masters ya Computer Science kupitia mtandao kwa takribana $7,000 tu, bei ya kaiwaida ("campus") ya Degree...
Nimewavulia Kofia China kudadadek aisee nais baada ya miaka 10 kama hii mambo ya Copy generation Itaendelea nais itaua soko la hizi kampuni kubwa.China wametoa Simu aina ya Meizu Pro 6 (Copy ya...
Hii canon IR2018 photocopy/printer/sccaner ni mpya ila ushamba kazi! Nimenunua na cartridge ambayo kwenye manual ina jina la "drum unit" ila baada ya kusoma vizuri manual na kuangalia machine...
Naombeni kujua namna ya ku upgrade window 7 kwenda 10 for free. Mahitaji yake ilinifanikiwe. Mwaka jana nilikuwa naona alert ya preparation ya PC yangu kuja kuwa window 10 siku hizi hata sioni ile...
ni mtandao gani wenye gharama nafuu zaidi zaidi hapa nchi Tanzania na wenye kasi inayo ridhisha kwa matumizi ya kupiga simu na kuperuzi na kupakua vitu mbalimbali kutoka mtandaoni?
Kwa wale wajuzi wa hizi issue naombeni.mnisaidie kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuhack akaunti ya mtu anayenisumbua nipate tu namba ya muhusika ya simu naomba anisaidie
Hata ikiwezekana mnipe...
Mtoto amechezea simu app ya meseji siioni hivyo siwezi kutuma wala kupokea sms. nimejaribu ku
download app nyingine ila hazifanyi kazi vizuri.
Naomba kujua namna ya ku recover ya zamani.
juzi nilinunua vocha ya elfu 3 ya halotel moja nikajiunga kifurushi cha chuo na 1500 nikajiunga unlimited bundle cha usiku pack nikaja kuangalia salio kwenye unlimited bundle wakanambia ndugu...
Simu feki zinapingwa duniani kote
Kila mtu anafahamu kwamba mwezi wa 6 mwaka huu, wametangaza kuzizima simu zote feki Tanzania, imeleta utata sana ukizingatia kwamba asilimia kubwa ya watanzania...
Extracted From the recent news alert from TCRA (March 19, 2016)
Kuhusu maendeleo ya sekta, (Dr. Simba) alisema hadi Desemba 2015, idadi ya laini za simu za mkononi ilikuwa 39,808,419 ukilinganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.