Kabelwa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 667
- 183
Wadau huku niliko internet ya tigo inasoma h+ na wakati huo huo unaweza kua na bundle la mb650 na setting ya internet ktk simu wamekutumia wenyewe lakini inashindwa kufungua application yoyote ktk simu sasa naomba kujua tatizo ni mtandao wao au simu na kama ni simu basi ni wengi Wana shida kama yangu huku niliko wilaya ya Korogwe,tanga.