Natafuta saketi ya Tecno M9

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,898
11,745
Simu yangu ya tecno M9 imekufa hivyo natafuta mtu mwenye saketi aniuzie ili niweze kubadilisha.
 
Hyo ya mwanzo imeathirika na nini au haiwaki kabisa
 
Mkuu hizo simu zilitoka kitambo kidogo na nadhani hazikuwa nyingi, mimi binafsi natumia hiyo simu labda tuongee vizuri unaweza nishawishi nikakuzia yangu,ipo fresh haiana hata mchubuko.
 
Back
Top Bottom