Ina maana gani

64 bit inahitaji large amount ya (RAM) ndio maana Recomended ya kupiga windows ya (64bit) Atleast Uwe na (RAM2GB)
kutofautisha na (32bit) hata ukiwa na (Ram256) Unapiga Windows kama kawa
Kwa kifupi (Windows 64bit )ina ufanisi zaidi ya Windows ya 32 bit
tunaweza kusema Windows 64 inauwezo kuliko 32
 
32/64bit operating system
Sina muda wa kutype ila niweke simple.

32/64 ni uwezo au namna cpu/procesor inavyopokea au kutoa data.

32 bit cpu- inaprocess data/bits katika mfumo wa bits 32 yaani. 1, 0 zipo 32 , yaani mafungu manne ya bits8

11111111 11111111 11111111 11111111

Au

10101010. 10101010 10101010 10101010. Nk

64bit cpu hiyo inaprocess data katika mafungu 8. Ya bits 8

Mfano:

10101010 10101010 10101010 10101010 10101010 10101010 10101010 10101010

Nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom