Msaada namna ya ku hard reset LG ce0168

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,040
772
kama nilivoeleza hapo juu. kifupi hiyo cm lg keyboard imestack so nashindwa kuweka password ili niingie. lakini ukipiga emergence keybody inafanya kazi bila shida.
nimejaribu hard reset inawaka badala ya kuinesha menu ya reseting.
kwenye kureset nimejaribu hivi kwa kuongozwa na google bila mafanikio
1. nimeminya power na volume down bila mafanikio
2. camera na power bila mafanikio
3. home key na power bila mafanikio(hapa sio mwongozo wa google,ni ktk kuhangaika)
4.power,volume up
5.power,volume na home key
zote hizi simu inawaka tu.
 
hatimaye nimefanikiwa kwa kuminya power+volume down+camera bottns
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom