Msaada: Nataka niweke application ya Hide SMS

service

JF-Expert Member
May 22, 2014
3,117
1,150
Kama kichwa kinyojieleza nataka install sms hide kama vile shady contact lakini kila niweka hiyo app ,napewa ujumbe kuwa app is not allowed nifanyaje ili niweke hiyo app!
 
Back
Top Bottom