ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Kuna watu wanapiga sana pesa kupitia kuwatengenezea watu cartoon photos unakuta mtu anampiga mwenzie hata elfu 3000 kwa picha moja mtu anatumiwa picha na pesa ndo anamtengenezea cartoon photo
Hii application ina itwaje? Je na kwenye simu inatumika,?
Hii application ina itwaje? Je na kwenye simu inatumika,?