Facebook yazindua mbinu za kuwasaidia wasioona

blogmaster

Senior Member
Aug 15, 2015
167
74
face-640x325.jpg


Huku mtandao ukitawaliwa na picha chungu nzima ,mtandao wa Facebook unazindua mbinu ambayo inaweza kuzisoma picha na kuwaelezea watu walio na ulemavu wa macho kile kilichomo katika picha hiyo.

Mtandao unabadilika. Badala ya kuanza kwa kutumia maandishi sasa umebadilika na picha ndio kiungo muhimu.

Takriban picha milioni 1.8 huchapishwa katika mitandao kama vile Twitter,Instagram na Facebook.

Ni habari njema kwa wale wanaotaka kujiunga na upigaji picha na mbaya kwa walemavu wa macho ambao hawawezi kujua ipi ni picha licha ya kuwepo kwa teknolojia zinazoweza kuwasaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom