Namna ya kuangalia video iliyo katika simu ionekane katika screen ya laptop

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Wadau wa jukwaa la teknolojia,
Nataka kufahamishwa kama kuna uwezekano wa kuangalia
picha/video inayoonekana ktk simu yangu kwa kutumia screen ya laptop.
Nadhani nimeeleweka.
 
tumia dnla mkuu itahitaji vyote simu na laptop viwe na wifi, halafu muwe connected kwenye same network (hotspot) then tafuta app za dnla za kukuunganisha.

ukitaja vifaa vyako itakuwa rahisi kufanya recomendation.
 
Simu: SAmsung galaxy note 3, model SM-N750L.
Laptop: Compaq Presario CQ40 Notebook PC
Pentium(R) Dual-core CPU T4400 @2.20GHz
Ram 2GB

kwenye windows yako
-click start halafu search neno media streaming then result ikija iclick halafu turn on media streaming
-alternative unaweza kwenda control panel, halafu network and sharing halafu media streaming then ieke on

ukishaeka on fungua windows media player halafu click stream then tick neno allow remote control of my player
7533149592_896a89b0b5.jpg

hapo tumemalizana na laptop ipo tayari kupokea video

kwenye simu yako
kwenye simu yako utahitaji app ya samsung link search playstore halafu download

njia za kufuata
1. connect simu na computer kwenye same network, unaweza tengeneza tu hotspot kwenye simu halafu ukaconect laptop yako
2. fungua app yako ya samsung link then chagua video unayotaka kuplay kwenye laptop halafu chagua jina la laptop yako itaplay
 
d8fb7d6bd4d53f3e90015e7d30df8ff8.jpg

mkuu picha unayoona apo nimescreengrab my Pc ila ako kadogo apo katikati ni live stream from my phone app inaitwa sidesync ni nzuri sana na simple kutumia hitaji mbwembwe wala nini ila ni for samsung users tena hig end devices.
 
fafanua zaidi mkuu ili
tupate ujuzi

Back
Top Bottom