Manjeta
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 392
- 237
Wakuu kwanza habari zenu...Google play store yangu niki-dowload app inadowload ikifika asilimia 90 au 98% inastop (yani inaganda ivyo ivyo) then ata ile notification ya kuonyesha kwamba inadownload inapotea na wala kuinstall haitaki...Nimejaribu ku-remove google account na kuweka tena, nime-claer data katika app ya google play store na google play service LAKINI TATIZO BADO LIPO...TAFADHALI NAOMBENI MSAADA WENU..natumia SAMSUNG GRAND NEO GT I9060 IPO ROOTED.