Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wajameni nina simu tajwa hapa juu tatizo lilioko nikiiwasha inanasa kwenye logo ya Tecno na haiendelei.. Tatizo limetokea baada ya monkeytest kuingia kwenye simu yangu... Msaada wakuu...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Wadau nimekuwa nashindwa kila mara kudownload video toka facebook, msaada jamani mwenye kujua jinsi ya kufanya.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Maana nahitaj nunua Huawei yenye mfumo mmojawapo hapo juu,,sasa sina huelewa sana juu ya mifumo hiyo,,natanguliza shukran...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida hope mu wazima Naomba kuwasilisha kwenu thread hii ambayo tutakua tunasaidiana matatizo mbalimbali yanayohusu IT and Telecomm Field
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wenu wakuu, kila nikijaribu kuingia kwenye account ya twitter naletewa haya maneno, CANNOT CREAT ACCOUNT hii shida ni tokea jana, mwenye kujua anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani habari zenu wadau wa tec' forums whatsapp naona wameamua kutoa toleo ambalo litaweza kutumika baada ya kuwa installed kwenye computer zinazotumia windows au Mac Pc'S, sasa naona...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nna furaha sana ku-release hii software ambayo nimeifanyia kazi kwa muda mrefu sasa. A|CSEE Professional ni toleo namba 3.0 ila hii ni Professional Edition kwani ina features nyingi sana zaidi...
18 Reactions
67 Replies
11K Views
Habari la jakwaa, Nauliza hivi kwa sababu natumia experia z2 nili root ila niki download update ya v6 ambayo ni kama mb968 inamaliza na click install ina reboot ila inafanya kama ina install kitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hbr wakuu! naomba msaada wa jinsi ya kutumia virtual box
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeipenda hii simu na nilisha fanya Order kwa kweli imenivutia kwa kila kitu sijaona sehemu walio bugi hii kwangu ni nzuri kuliko hata samsung S7 na Iphone 6 sijui iphone gani lakini HTC 10...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza wenye uelewa na hizi simu Nimeuza simu yangu samsung galaxy A3 nikanunua aina hii WIKO HIGH WAY PURE 4G japo hazijaanza sana kuingia hapa nchini zipo chache sana. Wiko iko...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
wanajamvi roho inaniuma sana nilifungua channel YouTube tokea mwaka juzi nilihifadhi video umo mbali mbali na lengo vhasa nilikuwa nataka kukieneza kiswahili kwani nilichogundua kwenye mitandao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada kwa wenye uzoefu MemoryCard ya Simu yangu inapoteza nafasi ghafla bila hata kudownload chochote na baada ya muda kama siku moja inarudisha nafasi iliyotumika kwa kifupi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba nijuzwe tofauti ya Mifi router na Wifi router. Je ni ipi nzuri
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wana JF naomba msaada kwa wenye uzoefu MemoryCard ya Simu yangu inapoteza nafasi ghafla bila hata kudownload chochote na baada ya muda kama siku moja inarudisha nafasi iliyotumika kwa kifupi SD...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Habari ndugu wapendwa! Naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!? Lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 ultimate shida yake ni kwamba...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Nimedownload movie (X-men: Appocalypse) kupitia torrents. Ilivyofika mwisho wa ku download imeniomba password ili kuifungua. Msaada tafadhali..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hbr!wakuu plz naomba kujua kuhusu chrome os na je ya operate katika any pc na then napenda jua ina support android app coz nimeona ina playstore!
0 Reactions
26 Replies
5K Views
naomba mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom