Nahitaji msaada wenu wakuu, kila nikijaribu kuingia kwenye account ya twitter naletewa haya maneno, CANNOT CREAT ACCOUNT hii shida ni tokea jana, mwenye kujua anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.