Msaada jinsi ya kupakua video facebook

Talapo

Senior Member
Nov 22, 2014
120
41
Wadau nimekuwa nashindwa kila mara kudownload video toka facebook, msaada jamani mwenye kujua jinsi ya kufanya.
 
kwa pc kuna njia nyingi tu
1.kupitia idm
download na install hii application internet download manager Download Internet Download Manager: high speed download accelerator
ukimaliza fungua video unayotaka kuidownload itatokea
1.PNG


then enjoy...
nb.unaweza kudownload video toka mitandao yote kupitia idm
 

Attachments

  • 2.PNG
    2.PNG
    43.6 KB · Views: 75

Kwa urahisi,copy url ya hiyo video hapo kwenye fb then google neno fb video downloader chagua mojawapo ya option zitakazo kuja.Hapo uta-paste hiyo url kisha utaona button ya kwenda mbele,uta-click.Hapo utaiona hiyo video kisha uta-select quality ya video hapo utaona ina-download kwenye pc yako.
 
Chukua hyo vidmate ni nzuri sana na ni faster,
Ukisha download ifungue hyo application then utaziona hzo application kama fb, YouTube etc ingia unakotaka mpaa kwenye video husika then utapata option ya kudiwnlod.
 
idm unaweza ina features nzuri tu
-ina support resume(bando likiisha unaweza resume paleulipoishia)
-download video youtube,site zote
-speed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom