Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,076
- 1,972
Natumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
Hyo inaitwa smart stay..inamanisha simu yako itaendelea kuwaka display as long as unaingalia ukihamisha macho nayo itajilockNatumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
Dah asante mkuu na mara nyingi kama usemavyo nikiiangalia nayo ndo hujitokeza asante sanaHyo inaitwa smart stay..inamanisha simu yako itaendelea kuwaka display as long as unaingalia ukihamisha macho nayo itajilock
Nilikua sijui sasa niiteje!!!!Ha ha ha, eti jicho.
Nilikua sijui sasa niiteje!!!!
Ahsante sana Mkuu kwa kunifahamisha asante sanaHako tunaita smart stay... ..
"screen stays On as long as ur looking at it.. " ndo kazi yake
Hahahahah sawa bhana ahsante sana kwa kunifahamishaMkuu nilikuwa natania tu, ndo hivyo hivyo.