hello all, nina Computer Lab mpya ina users kama 50 nataka kutumia Thin Client badala ya kutokununua PC zote 50. Nishaurini njia nzuri ya kutumia, nikipata option zaidi ya moja nitashukuru.
Habarini nina simu yangu htc one m9 lakini tatizo lake ni kuwa haijawahi kupandisha nertwot ya internet kufikia H+ Ingawa sehemu niliopo kuna simu zingine zinafika H+ je tatizo ni nini?
Habari ya jioni wakuu..
Naomba mwenye kujua hiki kifaa nakipata wapi kwa Dar au Arusha naomba anijuze. Maana nakitafuta sana ila sijabahatika bado.
Nitafurahi kama itakuwa ni toleo la hivi...
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa muda mrefu sasa namiliki pc ya Dell yenye pentium 4, ina processor moja na ram 256mb kwa kweli hii pc ni kimeo iko very slow.. Sasa najiuliza inawezekana...
natumia pc ya mda kidogo ina 32bit OS kila nikidownload netbeans 32bit inakata ku run labda pengne sijui utaalamu ila nimejaribu kichukua kwa wenzangu sijafanikiwa wana 64bit. naomben mnitumie...
Wakuu nna tatizo ila sijajua lipo kwenye laptop au charger yake? Niki chomeka adapter taa yake inawaka ila kwenye laptop haionyeshi kuwa ina ingiza.
Nime jaribu kutoa betri nakuchomeka direct...
Wakuu kwema? Nilikuwa nahangaika kuroot simu yangu C8, nimepata maelezo kutoka link flani. Unaweza kuroot bila kutumia PC na ni very simple. Fuata tu maelekezo kwenye hii link/Web address.
Tecno...
Habari ndugu wana Jf,
simu yangu iphone 4s imetumbukia ndani ya maji kwa muda wa kama sekunde 5 hivi nikafanikiwa kuitoa na kwa bahati nzuri ikaendelea kupiga kazi kama kawa ila tatizo ni kwamba...
habarini za muda huu wadau..
Nina shida nimekumbana nayo kuhusu upatikanaji Wa files mbalimbali nilizozihifadhi katika cloud storage. Kila nikiingia kwenye email yangu kuangalia nilichokiifadhi i...
Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.