Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Jamani wana JF naombeni mwenye Microsoft word 2013 activeted anisaidie nidownload au anaejua link ya sehemu nayoweza kudownload nitashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu ndugu zangu Ipo hivi nina simu yangu ambayo ni TECNO F5 ambayo nilipenda sana nitumie huduma ya 4G katika setting zangu ina Sehemu imeandikwa LTE ambayo ni 4G sasa tatizo lipo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari humu jamaa na marafiki. Nahitaji software kwa ajiri ya results analysis kwa wanfunzi wa secondary. Naomba msaada kwa aliyonayo tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Laptop yangu ishawah kuungua kitu flan ndan nikapeleka kwa fundi akabadilisha akarudisha. Imerudi ina tatizo la mouse ina stuck. Unapowasha mara ya kwanza inafanya kazi kidogo then ina stuck mpaka...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Wadau heshima kwenu.kuna simu nikiweka laini ya halotel mtandao unasoma lakini internet connection haisomi.Litakua tatzo ni nini make laini hiyo hyo nikiweka kwema kwenye simu nyingine internet...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Hii network ya vodacom 4G ina operate kwenye band gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Nina Samsung Yangu Mpya Galaxy J5. Kiukweli Inatunza Chaji Pale Ambapo Huitumii Ila Ukianza Kuigusa Basi Unaona % Za Chaji Zinavyoshuka. Kwa Wenye Kujua App Gani Nzuri Ya Kutumia Ili...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habar zxaiv wakuu tatizo ni ili kila ninapo ingia fb, Nikisha log in ina andika security na chini panakua na submit nime change password kama mara hamsini ivii... bado tatizo nilile lile
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina vodafone 785, ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini kuna siku niliconnect na desktop yangu nikaletewa ujumbe format phone memory bila ajizi mzee nikaiformat lahaula!!!! nilivyodisconect na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina simu lumia 535 inajizima kila baada ya masaa mawili nakuji washa yenyewe, nimejari kuchek kwenye simu kama kuna option yakuifanya izime na kuwaka lakini sijaiona hiyo option. Nimei restore...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaada wadau simu yangu HTC One mini ambayo battery ni built in imedondoka ndani ya maji kwa mda mfupi sana nifanye vp maana haiwaki na haina mahala pa kutoela battery.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Unaweza fanya hivi website yoyote, inakubali kwenye Chrome, kupata java console click CTRL+SHIFT+J javascript:(function(){functio n c(){var...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Wakati mwingine samsung siwaelewi kabisa. Inasemekana toleo lao jipya la samsung galaxy note 6 litakuwa na processor aina ya snsodragon 823. Kwa nini wasiweke ama sd 820 au exynos 8890 ambayo ndio...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Mwaka jana nillikuwa natumia Huawei y221, nilikuwa nikisikiliza Radio naweza kurekodi sasa hivi natumia Huawei Y560 Lakini kwenye FM Radio hakuna sehemu ya kurekodi hivyo nashindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu Naomba kuuliza naweza kupata umeme mchana kutwa kwa kuchaji Simu 5 tu za familia na kuwasha taa 4tu walao kuanzia saa1 jion had saa5 usiku kwa solar ya watt 50? Kama inawezekana ni...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Hiii apaa juu..[emoji20] [emoji19]
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za jioni wandugu nitumie app gani kuifadhi picha na video kawaida na sio online kwenye smartphone lakin hiyo app nikitaka kuifungua iwe na password
0 Reactions
3 Replies
2K Views
If you have recently ventured in the world of professional software developers, you should probably be aware about the business of writing code for a living that you even can’t learn from a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za hapa great thinkers.. Kuna Ubisoft ,Bethda,Marvel,na nyingine nyingi Wakuu kama mbuyu ulianza kama mchicha .. Vilevile hata kampuni hizo zilianza mbichi kabisa na naamini bado hazijaiva...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom