Whatsapp wametoa toleo jipya la kwa ajili ya Computer

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jamani habari zenu wadau wa tec' forums
whatsapp naona wameamua kutoa toleo ambalo litaweza kutumika baada ya kuwa installed kwenye computer zinazotumia windows au Mac Pc'S, sasa naona wanajitahidi kufanyia updates mara kwa mara ili kuboresha huduma zao
kwa maelezo jinsi ya kuitumia na kui download BONYEZA HAPA
 
Back
Top Bottom