Msaada wakuu kuhusu Tecno H7

afebris

Member
Nov 17, 2015
96
104
Wajameni nina simu tajwa hapa juu tatizo lilioko nikiiwasha inanasa kwenye logo ya Tecno na haiendelei..
Tatizo limetokea baada ya monkeytest kuingia kwenye simu yangu...
Msaada wakuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom