Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,338
- 803
Wana JF naomba msaada kwa wenye uzoefu MemoryCard ya Simu yangu inapoteza nafasi ghafla bila hata kudownload chochote na baada ya muda kama siku moja inarudisha nafasi iliyotumika kwa kifupi
SD card Total Space 3.63GB
Availabe space 220MB
Apps 408MB
Pictures,Videos 1.44GB
Audio 408KB
Downloads 58.72MB
Cache. 5.9MB
Sasa ukijumlisha hivyo hapo juu kuanzia Available space unapata 2.1331GB sasa hii 1.4969 inayobaki huwa inapotelea wapi kwani kuna wakati hiyo available space inapanda mpaka 1.24.. GB na baadaye inaanza kushuka taratibu mpaka 0.
Naomba Msaada plz
CC CHIEF MKWAWA