X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,115
wanajamvi roho inaniuma sana nilifungua channel YouTube tokea mwaka juzi nilihifadhi video umo mbali mbali na lengo vhasa nilikuwa nataka kukieneza kiswahili kwani nilichogundua kwenye mitandao ukitafuta kitu kwa kiswahili huwezi kupata hivyo nikajitahidi kuweka video nyingi nikaweka vichwa vya habari vizuri kwa lugha yetu ya KISWAHILI Ila juzi nimesikitika sana Mara baada ya kupokea ujumbe huu....We'd like to inform you that due to repeated or severe violations of our Community Guidelines (Community Guidelines - YouTube
> <http://www.youtube.com/attribution_link?a=6Uks4u-hpDg&u=/t/community_guidelines>)
> your YouTube account eddy mhando has been suspended.
> We are constantly working to keep YouTube free of spam. It's not okay to
> post large amounts of untargeted, unwanted, or repetitive videos. In
> addition, if the main purpose of your content is to drive people off of
> YouTube and onto another site, it will likely violate our spam policies.
> Learn more here <https://support.google.com/youtube/answer/2801973>.
Please be aware that you are prohibited from accessing, possessing or
creating any other YouTube accounts. For more information about account
terminations and how our Community Guidelines are enforced, please visit
our Help Center at Account terminations - YouTube Help
> <//support.google.com/youtube/answer/2802168?hl=en>.
> Help center <YouTube Help • Email options
> <YouTube
Roho imeniuma sana nimejaribu mbinu zote kuirudisha account yangu ya YouTube Ila jitihada zimegonga mwamba hivyo nionavyo mm NI bora MTU ukajitahidi kununua domain kuliko kuendelea kutumia mitandao ya bure ambayo wenyewe wakiamua muda wowote account yako wanaifunga bila sababu maalum...hicho ndicho kilicho Nikuta.
Kama kuna anaeweza kunisaidia kuirudisha hiyo account anisaidie tafadhali