uwezi kumpata kama Elimu yako ni ya chini.Bdo xjakupata kuhuxu chrome os
yap chromebook ni kama browser tu ni kwa ajili ya watu wanaotaka laptop ya kuingia tu internet na kufanya mambo madogo ndio maana unakuta internal storage zake ni ndogo zipo za 16gb au 32gb chache zinazidi hapo.Kwasababu kuna chrome book xo inamaana chrome browser ndo yafunction mle,,embu try chek video ya hyo k2 youtube
hii ndio launcher ya chrome os kwenye google chrome ambayo unaweza kuweka hata kwenye windows
![]()
na apps za chrome os ndio extension za browser ya chrome
Naweza nikaweka ktk pc? Mi ninayo pc yenye windows 10, je naweza weka hiyo??
Mkuu chief za siku kadhaa hapa nimekuta jipya ambalo nimetamani kujua vizuri maana pc yangu ni miongoni mwa hizo pc (kimeo) hahahaaa hebu naomba darasa juu ya kuweka hiyo kitu angalau ni enjoy pc yangu maana ni 32bit nimeweka window seven lkn daah ipo slow sana mkuu.
Sawa chief una maana nikiiweka kwenye laptop naweza tumia app z android kwenye pc bila shida?download hapa halafu fuata maelekezo
Phoenix OS for x86 - Phoenix OS
ni rahisi sana kuinstall ila ni vyema ukiwa na partition usiieke local disk c kwa usalama zaidi japo unaweza kuieka.
yenyewe hii ni modified version ya android x86, android kwa ajili ya laptop. sasa hivi zipo mbili kuna remix os na hii phoenix os. hio remix ni nzito na inataka hardware za kisasa hivyo haifai kwenye laptop zamani ila hii phoenix wamejitahidi ni nyepesi kiasi fulani.
sema by default hutaweza root wala kuwa na playstore ila unaweza kuvieka baadae.
ndio utawezaSawa chief una maana nikiiweka kwenye laptop naweza tumia app z android kwenye pc bila shida?
ndio unawezanaweza insall juu ya window or other os
chief nimeipenda sana hiyo phoenix maana nijua hakuna njia nyingine zaidi ya bluestack na kwenye mdesktop wangu haukai,sasa nimedownload phoenix kwa link uliyotoa ila wakati naistall kwenye local disk c ikamaliza fresh nikazima pc then nikaiwasha nikaoption phoenix os instead of window ila ikasema kuna vitu vimefeli na ikasema pleaz wait it initialize ila ikatake long sana nikazima pc forcefully,nikaistall tena kwa flash ikamaliza ila wakati nataka nirun kwa phoenix kupitia flash baada ya kuizima ikanitaka niandike command gani sijui...........pleaz chief nielekeze slowly niweze kuinstall hii kitu very genuine even kwa screenshot possibledownload hapa halafu fuata maelekezo
Phoenix OS for x86 - Phoenix OS
ni rahisi sana kuinstall ila ni vyema ukiwa na partition usiieke local disk c kwa usalama zaidi japo unaweza kuieka.
yenyewe hii ni modified version ya android x86, android kwa ajili ya laptop. sasa hivi zipo mbili kuna remix os na hii phoenix os. hio remix ni nzito na inataka hardware za kisasa hivyo haifai kwenye laptop zamani ila hii phoenix wamejitahidi ni nyepesi kiasi fulani.
sema by default hutaweza root wala kuwa na playstore ila unaweza kuvieka baadae.
hio njia ya kwanza ulikuwa sahihi ila hukuwa na subira tu.chief nimeipenda sana hiyo phoenix maana nijua hakuna njia nyingine zaidi ya bluestack na kwenye mdesktop wangu haukai,sasa nimedownload phoenix kwa link uliyotoa ila wakati naistall kwenye local disk c ikamaliza fresh nikazima pc then nikaiwasha nikaoption phoenix os instead of window ila ikasema kuna vitu vimefeli na ikasema pleaz wait it initialize ila ikatake long sana nikazima pc forcefully,nikaistall tena kwa flash ikamaliza ila wakati nataka nirun kwa phoenix kupitia flash baada ya kuizima ikanitaka niandike command gani sijui...........pleaz chief nielekeze slowly niweze kuinstall hii kitu very genuine even kwa screenshot possible