Chief,,,nimeona vision mbalimbali za kirin mfano,,,620 ktk maelezo naambiwa moja ya sifa yake ni utunzaj mzur wa chaj,,,sasa sijaelewa aina nyingine,,mkuu kwa hizo mbili almost zinafanana features
-core nyingi ndogo ndogo zisizo na perfomance kubwa
-gpu ndogo
ila kama ni simu ya huawei ni bora ukanunua kirin sababu inatengenezwa na hao hao huawei.
chipset ikitengenezwa na mtengeneza simu inamaana anakuwa na acess ya kila kitu hivyo inakuwa optimized sana. mfano wake ni kama iphone na A9 na Samsung na Exynos.
ila ingekuwa vizuri zaidi ukasema ni kirin ipi na ni mediatek ipi
hizo kirin zipo nyingi mkuu na pia sidhani kama kirin zinakaa sana na chaji kupita snapdragon.Chief,,,nimeona vision mbalimbali za kirin mfano,,,620 ktk maelezo naambiwa moja ya sifa yake ni utunzaj mzur wa chaj,,,sasa sijaelewa aina nyingine,,
Huawei P8 lite