IT and Telecommunication special thread

truewor

Member
Oct 16, 2015
45
51
Wakuu habari za mida hope mu wazima
Naomba kuwasilisha kwenu thread hii ambayo tutakua tunasaidiana matatizo mbalimbali yanayohusu IT and Telecomm Field
 
Wakuu habari za mida hope mu wazima
Naomba kuwasilisha kwenu thread hii ambayo tutakua tunasaidiana matatizo mbalimbali yanayohusu IT and Telecomm Field

Mkuu, naomba kujua kuhusu window 10 maana naona kama Microsoft wanaifanyia promotion sana. Swali langu ni kwamba kwa ujuavyo ww au mwingine anaweza kunisaidia. Ina vitu gani vizuri vya ziada aisee!?
 
Wwindow 10 ina feature nyingi mpya na function na pia ina defender nzuri xana dif na window nyingine zilizopita.
 
Wakuu habari za mida hope mu wazima
Naomba kuwasilisha kwenu thread hii ambayo tutakua tunasaidiana matatizo mbalimbali yanayohusu IT and Telecomm Field
Mkuu hivi Kama wame hack account unafanyaje ili kuipata tena
 
Umeuliza kama mtoto wa darasa la pili(serious).
"Wamehack akaunti"- Account ya bank, ya simu, ya computer, ya facebook,twitter au account ya wapi???
Umejuaje wamehack,yaani umeona mabadiliko gani?
Kama huna jibu bora utulie kuliko upuuzi ulioandika hapa nyumbu wewe
 
Back
Top Bottom