goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Habari ndugu wapendwa!
Naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
Lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 ultimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. Nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. Batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. Mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafadhali.
Mwisho ni maandishi yake kwa screen, ni makubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakini bado hayako normal.
Msaada tafadhali