Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,594
- 1,863
Habari la jakwaa,
Nauliza hivi kwa sababu natumia experia z2 nili root ila niki download update ya v6 ambayo ni kama mb968 inamaliza na click install ina reboot ila inafanya kama ina install kitu then inawaka inasema updates failed to update yawezekana ni rooting au ni nini? Storage space available ni kama 1.8gb yawezekana ndio tatizo?