Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 317
Naombeni kuuliza wenye uelewa na hizi simu
Nimeuza simu yangu samsung galaxy A3 nikanunua aina hii WIKO HIGH WAY PURE 4G japo hazijaanza sana kuingia hapa nchini zipo chache sana.
Wiko iko vizuri sana zaidi ya SAMSUNG niliyouza nimeipenda kiukweli
Yoyote mwenye nayo anayetumia hii aina ya simu anitoe wasi wasi kama hatoweza kufungiwa.