HTC 10:Hii ndiyo simu nzuri kwangu kwa sasa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Nimeipenda hii simu na nilisha fanya Order kwa kweli imenivutia kwa kila kitu sijaona sehemu walio bugi hii kwangu ni nzuri kuliko hata samsung S7 na Iphone 6 sijui iphone gani lakini HTC 10 KWANGU ndio baba lao

Kwanza Ina Camera kali sana,Ram ya kutosha Storage ndo usiseme 64 internal na External najua watanipa 128 GB nakuendelea! Ile sound yake sasa Mimi ndo naizimia ina Boom sound, sound moja mtata sasa kitu ambacho Samsung na iphone wamechemka,hata ukiongea na mtu una enjoy

Kwa kweli Hii simu hatari tupuu niliona thamani ya pesa yangu na nikaithamini kwakuweka Order hii simu

Battery ndo hapo kidg naona wamejitahadi inakaa karibia siku mbili matumizi ya kawaida na zile earphone original toka kwao nilizo agiza nitaifaidi sana hii simu

Hiyo sensor yake sasa! Siipigii promo hii simu lakini katika simu zinazo kuja bongo hii kwangu ndo best!
4f2ea5493a4b187f731988fd67b87ec9.jpg
 
Wamebugi kuweka kioo cha lcd, Simu yenye kioo cha lcd hutapata display nzuri so mimi natafuta simu nzuri yenye super amelod
 
ukishindana na hizi simu kwenye huu ulimwengu wa sasa..utashindwa wewe mana kila siku ni aina mpya za simu leo htc 10 baada ya mwezi htc 11 nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom