William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Naomba nijuzwe tofauti ya Mifi router na Wifi router. Je ni ipi nzuri
Asante mkuu sasa ipi ni nzuri kati ya hizo nataka ni nunue kwa ajili ya matumizi nyumbanikimtaani (sio tafsiri sahihi)
-wifi router ni kifaa kinachotumika kurusha wifi kwenye vifaa vyengine lakini source ya hio internet inakuwa sio mobile data yaani inakuwa ni cable internet, satelite internet, adsl etc
-mifi router yenyewe inakuwa ni router unayoeka line ya simu (mobile data) na kurusha wifi na mara nyingi inakuwa na battery, hizi nyingi zinauzwa na mitandao ya simu
maana sahihi
mifi ni katika kampuni ya mwanzo kutengeneza router zinazoingia line, unaposema mifi router kama aina ya router ni kama wale wanaoita tablet yoyote ile ipad, utaskia anasema nauza ipad ya samsung.
hivyo mifi ni brandname tu ya router zinazoingia line lakini siku hizi hutumika kama vile aina ya router zinazoingia line.
Asante mkuu sasa ipi ni nzuri kati ya hizo nataka ni nunue kwa ajili ya matumizi nyumbani
unless una cable internet hapo huna ujanja ni router inayoingia line ndio utatakiwa ununueAsante mkuu sasa ipi ni nzuri kati ya hizo nataka ni nunue kwa ajili ya matumizi nyumbani