Habari wakuu.
Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall.
Msaada wenu tafadhali.
Habari wakuu?
Mimi ninatumia HP Laptop. Hivi karibuni niliupdate kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10. Awali pc yangu ilikuwa ilikaa na chaji hadi masaa 6. Sasa haikai hata dakika 30. Na hata...
Habari za muda huu Ndg wana jamii forums
Kuna Ndg hapa alikuwa anatumia huawei za tigo , kaweka sim card tofauti na tigo ikawa inaomba codes_ kaingiza Mara kadhaa mpaka ikawa SIM BLOCK...
Natakuliza shukrani zangu kwenu wana body, naomba kujua kwa ambae tayari ameshatumia mtandao tajwa hapo juu speed yake ipoje? Maana nataka namm nikachukue line pamoja na mifi kwaajili ya matumizi...
Siku kama tatu zimepita kuna mtu alipost akilalamika kwamba internet ya halotel imekua nzitoo sana, mimi kwangu ulikua poa tu.
Lakini na mimi tangu asubuhi nilivyounga kifurushi mtandao umekua...
Habari zenu wakuu hivi karibuni nimenunua techno w4 ambayo ina android 6 (marshmallow) lakin tatizo kubwa nashindwa kuiroot nimejaribu apps karibu zote za kuroot lakin imeshindikana je kuna njia...
Wakuu hope ni salama!
Ninafikiri jinsi ya kupata majina ya form IV wanaomaliza kidato cha nne na kupata division four (country wide) in a yearly basis. Ninaomba kama kuna mtu ana idea au...
I'm back baada ya kutokuwa ktk mtandao huu kwa muda mrefu sasa.. Please, uliza kuhusu blackberry nitakusaidia na kama ni urgent sana nita ku refer kwa mtindo mwingine..
Feel free and home!
BBZ10
Nina toshiba portege M400 inagoma kuinstall windows inaonesha ujumbe wa kutoonekana kwa windows install driver. Nikaweka windows katika hard disc yake kwa kutumia laptop nyingine windows ikakubali...
Habarini zenu,
Baada ya ku-update ios kutoka 9.3.1 kwenda v9.3.2 ambayo imekuwa rolled out juzi,na ku-update WhatsApp kwenda v2.16.5 imekuwa ikistack na kushindwa kuendelea.
Nimejaribu kutafuta...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema nauza pc tupu(dell precision t5500)maalum kwa ajili ya game za kisasa na inaweza kufanya editing pia...spec processor xenon 2.8mhz(4cpu)ram4gb,hdd 1t,dvd...
naomba mtu mwenye gemu za GTA v, MAX PAYNE 3, FAR CRY 4 na CRYSIS 3 za pc anijulishe nije nichukue maana kila web nayoingia kuzipakua inashindikana na nimeshindwa kwa mwenye nazo naomba msaada.
Salaam wakuu,
Nimehamishs SD card 4Gb kutoka kwenye simu nilokuwa natumia na kuweka kwenye hii simu nilonayo sasa.
But sizioni image wala links zangu zilokuwemo. Jee kuna namna ya kufanya ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.