bwaxs
Senior Member
- Aug 14, 2014
- 102
- 32
Siku kama tatu zimepita kuna mtu alipost akilalamika kwamba internet ya halotel imekua nzitoo sana, mimi kwangu ulikua poa tu.
Lakini na mimi tangu asubuhi nilivyounga kifurushi mtandao umekua mzito sana sipati kasi kama niliyokua naipata siku za nyuma.
Sijui tatizo ni simu yangu au ni network yao?