.Net framework ipi inatumiwa na Windows 8?

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,410
2,159
Habari wakuu.
Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall.

Msaada wenu tafadhali.
 
Habari wakuu.
Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall.

Msaada wenu tafadhali.
Nafikiri hiyo itakua ilikua compiled na .NET Framework ya 3.5 maana apps zote zilizo compile na 4+ zina run kwenye windows 8 vs 8.1

waweza install 3.5 na 4.5 nahisi win8 ilikua inakuja na 4.0
 
Mkuu kwanini mpaka leo hii bado unatumia window 8 wakati window 10 hainaga kabisa matatizo kama hayo?
 
kwenye .net zote hazina 3 na zina 4/4.5
Yah...window 10 imerahisishwa sana ni software chache sana zinazogoma kuwa installed kwa pc, kiufupi imekuja kucover dosari za w7 na w8. Sema ina complication tu kwenye kuiupdate
 
windows 10 ina vikwazo sana kwa software ambazo hazijapita windows signature
 
windows 10 ina vikwazo sana kwa software ambazo hazijapita windows signature
kama ipi? sababu windows zote zina kitu kinaitwa compability mode ili kukuwezesha kurun software za nyuma.

ukitoa mashirika makubwa ambayo yanatumia software ambazo hatuzijui sidhani kama kuna software ya watu wa kawaida isiorun kwenye windows 10
 
Back
Top Bottom