Msaada: Namna ya kuona images na video links baada ya kuhamisha SD card

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
8,909
17,857
Salaam wakuu,
Nimehamishs SD card 4Gb kutoka kwenye simu nilokuwa natumia na kuweka kwenye hii simu nilonayo sasa.
But sizioni image wala links zangu zilokuwemo. Jee kuna namna ya kufanya ili ziweze kuingia kwenye gallery? Au ndio basi tena nishazipoteza?
Na ubaya wa mambo simu niliokuwa natumia mwanzo ilikufa na kuzima kabisa..
Thanks
 
Hapo yawezekana storage ya hizo picha haikuwa SD card, i mean zitakuwa zilikuwa stored kwenye hiyo internal memory ya simu ya zamani.
Hakikisha kwanza vizuri hili suala then usipozikuta, angalia path folder ya hizo picha kwenye hiyo memory card, tumia file manager, maana yawezekana Gallery tu ndio haitaki kuzidisplay hizo picha kulingana na sababu zake za msingi.
Kuhamisha memory hakuwezi futa picha ambazo zilikuwa in form of soft data.
 
Back
Top Bottom