Pole mkuu seems umri umeenda ama ndio unaanza kutumia vitu vya dotcom hivi..
Kurestore ni kurudisha taarifa zilizokuwepo awali...mfano msg, skip groups nk....skip ni kwamba uendelee mbele usifanye hicho inachoelekeza ufante ama lah
By the way uwe una google
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.