Form IV Students Database

Form IV Students Database

Developer

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
569
Reaction score
933
Wakuu hope ni salama!

Ninafikiri jinsi ya kupata majina ya form IV wanaomaliza kidato cha nne na kupata division four (country wide) in a yearly basis. Ninaomba kama kuna mtu ana idea au anaweza kuyapata na kuniuzia. Content ninazozitaka ni Jina la mwanafunzi pamoja na shule aliyomalizia, matokea yake na contact yake au ya familia (namba ya simu), in soft copy. Nataka kuyatumia kwenye marketing in education sector (SMS and Voice calls). Price will be negotiable and paid annually as per service.

With thanks,
 
mkuu kinachoweza kupatikana kwa haraka naona ni jina la mwanafunzi, shule alikosoma na matokeo yake coz hawa vijana wa form 4 kupata namba zao za mawasiliano inakuwa kazi mkuu.
 
Wakuu hope ni salama!

Ninafikiri jinsi ya kupata majina ya form IV wanaomaliza kidato cha nne na kupata division four (country wide) in a yearly basis. Ninaomba kama kuna mtu ana idea au anaweza kuyapata na kuniuzia. Content ninazozitaka ni Jina la mwanafunzi pamoja na shule aliyomalizia, matokea yake na contact yake au ya familia (namba ya simu), in soft copy. Nataka kuyatumia kwenye marketing in education sector (SMS and Voice calls). Price will be negotiable and paid annually as per service.

With thanks,
mm niko ninazo nitafute pm
 
Back
Top Bottom