Uliza kuhusu blackberry nikusaidie..

maedson

Senior Member
Sep 7, 2012
151
86
I'm back baada ya kutokuwa ktk mtandao huu kwa muda mrefu sasa.. Please, uliza kuhusu blackberry nitakusaidia na kama ni urgent sana nita ku refer kwa mtindo mwingine..

Feel free and home!

BBZ10
 
ok i've got a problem on my BBz10...


kwenye blackberry world application zote hazkubal kuwa installed, inataka ni update, ba nkiingia kwny software update haileti chochote,.,

je kuna njia nyingine naweza kui update jwa urahisi zaid?! ili niweze kupata apllications mbalimbali kama whatsapp nd otherz
 
pia naomba nsaidie njia rahis zaid ya kupata applications za android kwny blackberry 10


#adios
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom