Nenda Gerezani-Kariakoo zipo za aina na size mbalimbali, zinakuwa ziko kwenye bars (chuma mojamoja), so unanunua pamoja Bolts na nuts zake na unakwenda kufunga mwenyewe kulingana na size/upana wa shelf unaoutaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.