Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimekuta inauzwa SH. 6,300,000 Naomba msaada kwa wajuzi what is so special katika hii Computer
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wandugu. Kutokana na hali ilivyosasa mahitaji ya pc yamekuwa makubwa sana. Mimi ni mmoja kati ya wahitaji wakubwa wa kompyuta (PC). Kwa kuwa nina uhitaji ila siyo mtaalam wa hivi...
0 Reactions
51 Replies
16K Views
Kama simu yako inatumia media tek chip mfano tecno. itel, lenovo, n.k unapata R badala ya 3g hata ukizima option ya roaming download mtk engeneering tools kule playstore then fuata hizi hatua
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona hii mitandao inaZingua sana na matangazo yao ya 4g kama vile kila simu inasupport. Inawezekana kweli kuhamia 4g kama inavyowezekana kuhamia marshimallow?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Za masiku wakuu, ni siku nyingi sana sijapita jukwaa hili kuanzisha mada zinazohusiana na masuala ya animation/graphics design. Leo nimechepuka kidogo kuwasabahi wakuu wangu. wakati mnapokea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
FTA...................
1 Reactions
47 Replies
15K Views
Habari wakuu ipi antivirus nzuri na inayofanya kazi ipasavyo katika smartphone zetu
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Msaada wakuu..simu yangu inazimika ghafla bila matarajio..angali imejaa chaji na pia situmii external memory..msaada wakuu.lg g flex 2.international model
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Ni model gan ya iphone 6 ambayo ina tumika international mana naona kuna models tofaut kutegemea na nchi je model ya kimataifa ni ipi na kaa Tanzania model ina fanya kazi... Mana simu ata kama...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06# , itaonyesha namba ya pekee (serial number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity)...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
VYETI ,VYETI, VYETI .....Vyeti vimeokotwa , vyeti vya FADHILI MASAWE MICHAEL kidato cha nne amemalizia shule ya secondary GG .SHULUA iliyoko box 60138.Dar es salam, Kidato cha sita...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Now is a great time to change your LinkedIn password. You may recall the recent fallout from the company's 2012 breach, when the social network for professionals revealed that many more users had...
1 Reactions
3 Replies
824 Views
Tv yangu aina ya skyworth imeunganika na Dvd player...imezima ghafla nikiwasha ina-flick tu haiwaki tena.Inaweza kupona,au ndio ishakufa kma kuna fundi wa kuaminika humu j.f naomba Ani pm...
1 Reactions
0 Replies
803 Views
Msaada jamani simu yangu tecno y3+ ya Tigo iko slowly kwenye internet lakini nikitumia WI-FI ipo vizuri muongozo tafadhali
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nilii root simu yangu na kui upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 4.4.4 tangu nimeibadili imekuwa na tatizo LA kuchagua baadhi ya laini na kuandika invalid imei. Baadhi ya laini siwezi kupiga wala...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Anayejua how to fix ivalid imei on galaxy s3.... Help plzz[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Naomba msaada wa channel inayoonyesha mechi za copa america ktk kingamuzi cha star times
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi Mjumbe wenu nahitaji kujua ni channel gani wanaonyesha Mpira wa copa America ktk star times nataka ni recharge ili niangalie hyo additional channel ya Soccer.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jukwaa ..... naomba msaada kwa simu tajwa juu nmedondosha na touch inarespond kwa shida ............ je kuna spare zake ( like kioo chake naweza badilisha?)
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom