M-paper nadhani is the most useful app ya kusoma magazeti online kutoka Tanzania mpaka sasa. Hongereni ila naomba muongeze Na gazeti la mwananchi mtakuwa mmemaliza kabisaa.
Tafadhali na hitaji msaada, nina laptop yangu aina ya Lenovo B570e inashida ya Bios, kila napo takata ku access Bios settings, ina load hukuikisema "please wait.......", Then ina boot normaly...
Habari zenu wakubwa
Ni muda sasa nimekua nikisikia watu wanasema kuhusu ku root cm lakini sielewi kwasabababu ni mgen katika hivi vitu hivyo jamani nlikua naomba mwenye ufahamu na hivi vitu...
Leo katika kuhamisha vyombo nimekuta tv yangu imecrack na haioneshi kitu!!
Naomba msaada wapi nitaweza replace hiki kioo na gharama zake!!
Natanguliza shukrani!
wakuu habari yenu, ninatumia pc aina ya dell. nikisearch devices kwa wireless (wifi) device znaonekana ila niki connect wanaandika NetworkUx.ViewModel.SettingEntry. na hata setting hazifunguki...
Hii habari imendikwa kwenye gazeti la Mwananchi leo tarehe 10/04/2016. Sina uhakika ina ukweli kiasi gani, hasa mwandishi anapodai kwamba lazima IMEI kwa kila simu original ianze na 35 ndipo...
Habari za mida .
Katika matumizi ya kawaida ya pc yangu imepatwa na shida hii ambayo mpaka sasa sijajua nini tatizo au chanzo.
Kwa muda nimetumia kucheza games, kusomea na kuvinjari.
Hivi sasa...
Wanajamvi habari za Leo
Natumai mu wazima wa afya
jamani leo naomba msaada namna ya kujiunga skype maana najaribu nashindwa
Namna ya kuandika majina yanatakiwa yawe na maneno mangapi (hasa...
Wana body salaaam, Leo nimeingia humu kuomba msaada Nina modem ambayo inanisumbua jinsi ya kutumia najaribu kuweka line lkn inasema sim not supported lkn ni universal anayefahamu naomba msaada
Husika na Kichwa hapo Juu Mimi ni mmiliki wa website moja ya movie, katika website yangu mtu anakuwa analipia kiasi fulani kwaajili ya kuwa member katika website hiyo sasa nimekaa nikafikiria hili...
Hello wana jamvi!
Naombeni msaada maana simu yangu nikiangalia IMEI then hizo namba nikizitima kwenye namba 15090 ya TCRA naambiwa ni BANDIA hivyo niibadilishe.
Simu hii ni products ya TECNO...
Nina simu ya Samsung s5 imekufa kioo kiasi haionyeshi kitu nadhani ni touch system yote inatakiwa kubadilishwa.
So wapi nitapata kioo hicho na mafundi hasa kwa hapa DSM?
Nina tv flat LED SINGSUNG imevunjika kioo, nimetafuta kioo kingine kwa huku Mbeya imeshindikana, kwa yeyote anayeweza kunisaidia hata kwa information napataje kioo hicho ili niweze ku replace...
Nina laptop HP ProBook. Herufi za mwisho mkono wa kulia na kushoto kwenye keyboard hazifanyi kazi. Hii nimesababishwa na nini??
Nisaidieni wataalamulaptop
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.