Speed ya TTCL 4G ipo vizuri??

cyber ghost

JF-Expert Member
May 8, 2015
239
160
Natakuliza shukrani zangu kwenu wana body, naomba kujua kwa ambae tayari ameshatumia mtandao tajwa hapo juu speed yake ipoje? Maana nataka namm nikachukue line pamoja na mifi kwaajili ya matumizi yangu ya nyumbani
 
speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.

ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
 
Kwa nchi nzima au bongo tu hizo 4g/3g/2g
 
speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.

ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
Simu yangu ina 3g vipi 4g itakubali?
 
Kwahiyo chief mkwawa wewe ulitumia kabla hawaja anzisha huu mfumo wao wa 4G? Navipi zile mifi zao zinaweza kuchakachulika kuwa universal??
Simu yangu ina 3g vipi 4g itakubali?
 
Signa yao iko very poor ukiwa unatumia hilink ukipata hiyo bar moja una mshukuru Mungu

Vinginevyo ukipata 16Mbps unamshukuru Mungu

DA4kAk.png
 
ninachomaanisha tafuta router universal, usihangaike kununua router kila mahala, hivi vi mifi vya 4g unavipata chini ya laki 1 ebay au hata hapa bongo uwe makini tu na bands
Dah natafuta mifi ya universal 4G lakini hapa dar kunasehemu wakaniambia 250,000 nikaona bora niache nikanunue tecno C5 ila nikipata mahali hapa bongo inapatikana kwa chini ya laki na nusu nachukua
 
njia rahisi zaidi ni kununua usb router inayokubali modem, halafu na modem ya 4g halafu unlock modem ya 4g utakuwa na universal router nzuri tu. kuna jamaa hapa jf niliona anaziuza kule store kwa 80,000

japo ameandika ni ya 3g ila nafkiri itafanya kazi pia kwa 4g sababu inayopokea data ni modem na si router ila itabidi utest kwanza
@Mwana Ilala
 
Wanuza modem 130,000 vichwa vyao vimejaaa maji... Modem popote inauzwa 30-40. Ndio maana ttcl inazidi kufa tu kila siku
 
Universal ni bei gani?
kama utanunua ya kuchomeka modem itakuwa ni around 100,000-150,000 ila ukitafuta modem ya wifi ukachomeka kwenye powerbank itazidi kuwa rahisi. sema hakuna modem za wifi za 4gb ambazo nimeziona ila ebay ni kama dola 20 hivi
 
ninachomaanisha tafuta router universal, usihangaike kununua router kila mahala, hivi vi mifi vya 4g unavipata chini ya laki 1 ebay au hata hapa bongo uwe makini tu na bands
Mkuu Hivi Hawa TTCL Wanatumia Frequency LTE Band Gani? na Je Wameshafika Mwanza au Bdo Dar tuu kwa sasa?
 
speed around 20 hadi 30mbps sema support yao ni mbovu sana nilitumia siku moja tu nikaachana nao. niliwapigia kuhusu iasue za kuongeza vocha na kujiunga vifurushi wanataka hadi ulogin kwenye site yao na kuongezea pamoja na kujiunga huko.

ila ofisini kwao waliniambia mwezi wa 5 (ambao ndio huu) watazindua rasmi 4g/3g/2g hivyo huenda waka improve
Walishapotezaga dira hao.
 
Back
Top Bottom