Natumia Tecno c8, nikitumiwa meseji kwenye WhatsApp au Imo notification haziji muda muafaka ( automatic ) hata kama data iko on. Nikiingia labda kwenye WhatsApp ndio nakutana nazo. Yaani kwa lugha...
Habari wakuu!
Natafuta simu mpya inayo suppot 4G, bajeti yangu ni tsh 200,000/= lakini sijajua ni brand gani nitapata kwa sifa na bajeti hiyo... nipo dar!
Msaada tafadhali kwa mwenye kujua.
Zipo taarifa za kutoka TCRA kuwa ifikapo June simu nyingi zitazimwa ,ambazo kwa viwango vyake sio halisi.
Kwa utafiti wangu huku mtaani kutakuwepo kilio ambacho na malalamiko huenda kushinda cha...
jaman wandugu habari zenu simu yangu aina ya be model:UNO20 haionyesh alama za data pale juu lakini data zinawaka kama kawaida lakini huoni 3g,h+ wala nini na internet haifungui msaada tafadhali
Habari wakuu, naomba kufahamishwa kitaalamu.Mimi ninafanya shughuli za ujenzi na shughuli mbalimbali za kiuchumi.
-Huwa natumia sana internet ya vodacom na halotel.Lakini nimekuwa nikichunguza...
Najua wengi ni watumiaji wa OS ya window ikiwemo xp,w7,8,8.1,10n.k leo tujadili kuhusu hili tatizo kama linavyojieleza kwenye title hapo juu .
Kwa namna ninavyofahamu
Tatizo hili usababishwa na...
Wakuu tuelimishane kuhusu web browser ni ipi iko vizuri na unapenda kuitumia kwa sababu ipi, je extensions zinazoweza kutokea kwenye hiyo browser unazipenda na kama huzipendi unachukua hatua gani...
Nacho Ni Aina Au Staili Ya Maandishi Wanayotumia (font) Kwenye Jina La Brand Za Simu Zao. Hivi Katika Font Zote Duniani Jamaa Wameona Ile? Ni Mbaya Kwa Kweli Hadi Inapoteza Ubora Wa Simu Zao...
habari wakuu natumai tupo poa bt naomba natumia laptop Dell Latitude|E6400 mwanzo nilipotoka nayo dukani ilikuwa inaconnect Wi-fi bila shida yeyote lakini windows yake haikuwa Gunien hivyo...
*#1111# S/W Version
*#1234# Firmware Version
*#2222# H/W Version
*#8999*8376263# All Versions Together
*#8999*8378# Test Menu
*#4777*8665# GPSR Tool
*#8999*523# LCD Brightness
*#8999*377# Error...
Niaje wanaJF, naomba ushauri wa kina nifanyaje hii website niliotengeneza kwaajiri ya wafanyakazi wanaobadilishana shida inakuja niongeze nin au nipunguze nn au nifanyaje ili niwezekuwashawishi...
Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.
Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia...
Wana Jf,
naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
Nimekuwa naona post kadhaa humu zikionesha faida wanazopata wenye page za Facebook, Instagram nk kuwa wanapata faida au kunufaika kuyokana na matangazo au viewers wanaotembelea page hizo.
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.