Asante kwa ushauri, ila Toshiba na Dell wana-range kubwa ya laptop so kama itawezekana nipe Ata aina mbili tatu hv kutoa apo,Deli au Toshiba.
Kulingana na pesa uliyonayo, ila kama ungeweza kujikaza ikafikia mia-nane au jiwe, HP ingekufaa mno.
Kwa 650-700 Kariakoo. Mpya dukanWaweza pata HP Hard disc 500 GB RAM 4GB Processor 1.6@2
Inategemea na version ya dell mkuu zipo dell mashine hatariKwa hiyo Pesa unatapata HP nzuri tu ila dell usinunue zinasumbua sana betri na speakers sio imara