iOs update 9.3.2 inaleta tatizo kwenye WhatsApp

Old Skuli

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
690
178
Habarini zenu,

Baada ya ku-update ios kutoka 9.3.1 kwenda v9.3.2 ambayo imekuwa rolled out juzi,na ku-update WhatsApp kwenda v2.16.5 imekuwa ikistack na kushindwa kuendelea.

Nimejaribu kutafuta forums kadhaa,inaonekana ni global issue na suluhisho maalumu bado halijakuwepo na WhatsApp wako kimya,hawajasema kama ni serious bug au shida nini.

Je na kwako halo iko hivo?
Umepata utatuzi?
 
v9.3.2 haijatoka juzi ina muda tu na hakuna shida yoyote kwenye WhatsApp kwa upande wangu.
 
Okay nashukuru kwa taarifa,basi nafikiri mm nilichelewa kuiona hiyo update.
Una uhakika kwenye WhatsApp yako ni hiyo latest version niliyotaja?
 
Ngoja nifanye update ya WhatsApp kisha ntakupa jibu. Ila iOS 9.3.2 haina shida.
 
90564a1efe95e990d80e0a1d1d2d9997.jpg
e118664d992da6a221913efa0fc35169.jpg

Jaribu kupitia
Na discussions kibao zinaendelea kwenye discussions.apple.com
 
Okay nashukuru kwa taarifa,basi nafikiri mm nilichelewa kuiona hiyo update.
Una uhakika kwenye WhatsApp yako ni hiyo latest version niliyotaja?

Nimesha-update WhatsApp na Vodacom 4G sioni tatizo lolote.
 
Sijaona shida yoyote hadi sasa.

We ndo wa kwanza nimesikia hujapata tatizo maana nmeshaongea na watu wengi nnaowajua wanatumia iphone wanasema shida iko,basi u might be that one luck nigga!
 
Finally,
Leo WhatsApp wameachia update v2.16.6 imesolve tatizo.

THREAD CLOSED
 
Back
Top Bottom