Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,793
- 8,734
naomba mtu mwenye gemu za GTA v, MAX PAYNE 3, FAR CRY 4 na CRYSIS 3 za pc anijulishe nije nichukue maana kila web nayoingia kuzipakua inashindikana na nimeshindwa kwa mwenye nazo naomba msaada.