asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,409
Habari za muda huu Ndg wana jamii forums
Kuna Ndg hapa alikuwa anatumia huawei za tigo , kaweka sim card tofauti na tigo ikawa inaomba codes_ kaingiza Mara kadhaa mpaka ikawa SIM BLOCK
Nilikuwa naomba kama kuna yoyote anaweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kutumia sim card tigo maana saiv bado inaomba codes to unblock
Ntashukuru endapo ntapata msaada toka kwenu ,niwatakie siku njema na samahani kwa usumbufu utakao jitokeza
Asubuhi Sana