Wana teknolojia mlioko hapa,
Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa...
Wakuu habari.
Nina simu LG g3, nilikuwa safarini nikawa na mapumnziko ya siku 2 mjini Maputo, ambako niliuziwa hiyo simu niliyoitaja hapo juu.
Baada ya kuitumia kwa muda wa kama wa mwezi mmoja...
Laptop yangu ya Dell xps inamatatizo ya kutoonyosha inapopata moto na pia feni zke zote mbili hazizunguki kama kabisa yani.
NB. Ilikuwa ndani kwa muda mrefu kama miaka 3, kwani ilikosa adapter...
Mtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet...
Nmkutana na app kama tatu za watsap zoote hizo hazipo play store features zake ziko superb xaaanaaa,nlkuwa naomba wataalamu wansaidie ipi ni bora zaidi ya nyingne
Watsap plus
Watsap gold
Watsap...
Wakuu uwa natumia decoder ya azam kuangalia video kama nyimbo na movie kupitia memory card yangu,lakin cha kushangaza nikiwa naangalia movie uwa zikifika kati zinagoma kuendelea kuplay,lakini...
Mswaki wa dola 400 za kimarekani utakaokusafisha wakati huo huo ukiwa unakupa video za moja kwa moja (LIVE) za kinywani mwako kupitia simu yako.
Kampuni ya Onvi inayotengeneza miswaki ya umeme...
Wadau salaam,
Nipo hapa natuma attachments kwenye e mail nikisend napata ujumbe huu
"To prevent abuse, your message cannot be sent now. If the message contains only a link, please add some text...
wadau naomba msaada wa lisence key ya window 8.1 pro.
maana product key yangu
00178-10140-00000-AA515
inaexpire July 5..
natanguliza shukrani
@chiefmkwawa na wengineo.
Wadau naamini mpo wazima, nahitaji msaada wenu kwa tatizo la simu yangu huawei y300 ambayo nilii-root. Baada yya rooting imekuwa na Tabia ya kuinstall uc mini bila ridhaa yangu na kila nikipitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.