PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,729
Reaction score
4,999
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema nauza pc tupu(dell precision t5500)maalum kwa ajili ya game za kisasa na inaweza kufanya editing pia...spec processor xenon 2.8mhz(4cpu)ram4gb,hdd 1t,dvd writer,video card-nvidia quadro fx....ndani kuna game nyingi bei 400k maengezi yapo....
 

Attachments

  • 1404576980128.jpg
    1404576980128.jpg
    42.8 KB · Views: 326
  • 1404577009155.jpg
    1404577009155.jpg
    46.1 KB · Views: 270
  • 1404577027063.jpg
    1404577027063.jpg
    65.6 KB · Views: 284
Humu inacheza mkuu na mmoja ya game ambayo ukinunua utaikuta humu ni watch dogs...Haaa haaa haaa mkuu ram kuwa ndogo sio tatizo inategemea unarun hiyo game kwenye processor ipi...
 
Mkuu hakiam....pitia hii kidogo...
 
Nimekupata mkuu so inamaana unaweza KuongeZa hardware kama ram na vingine ili kuongeZa performance... Iko vizuri mkuu
 
Hii yenyewe hapa ilipo inapiga mzigo wowote achilia mbali magemu ya ukweli...na ina uwezo wa kuongeza ram hadi gb 72
 
Graphic card Ina dedicated memory ngapi? Bits ngapi pia?
 
Hiyo workstation siyo maalum kwa gaming bana, kwanza hizo gpu za Quadro fx ni special kwa ajili ya rendering, CAD, CAM. Kwenye gaming ni GTX series ndo mahususi.

PSU 845W -Hapa jiandae kufunga ndoa na tanesco.

Kwa watu wa studio (video production) CAD & CAM pro haya madude yanawafaa sana.
 
Hiyo workstation siyo maalum kwa gaming bana, kwanza hizo gpu za Quadro fx ni special kwa ajili ya rendering, CAD, CAM. Kwenye gaming ni GTX series ndo mahususi.

PSU 845W -Hapa jiandae kufunga ndoa na tanesco.

Kwa watu wa studio (video production) CAD & CAM pro haya madude yanawafaa sana.

Mkuu mjomba fujo....naona unabishana na ukweli...nimesema hii mashine inacheza game za kisasa na ndani ya hii mashine kuna game zaidi ya 70....kwa mtu yoyote mwenye kuipenda hii mashine kabla ya kulipana anafungua game zote zilizopo humu na kucheza akilizika ndio tunalipana...hii mashine huuziwi tu kibubububu....unajua baadhi ya watanzania ni mabingwa sana wa kuongea kwanza jaribu then ndio uje hapa na details kuwa haiwezi...sio kusema wakati hujui....labda tu kwa taarifa yako nina uzoefu na computer zaidi ya miaka 15 na kazi zangu zinahusu hii makitu nafanya graphics na video editing. ..na ni mpenzi mkubwa wa game na ipo sehemu humu jukwaani nilifuangua kuhusu game....yaani sijaongea tu najua ninachokisema ndio maana nimesema humu jukwaani...samahani lakini mkuu mjomba fujo kama nimekukwaza.....nawasilisha.
 
Mkuu mjomba fujo....naona unabishana na ukweli...nimesema hii mashine inacheza game za kisasa na ndani ya hii mashine kuna game zaidi ya 70....kwa mtu yoyote mwenye kuipenda hii mashine kabla ya kulipana anafungua game zote zilizopo humu na kucheza akilizika ndio tunalipana...hii mashine huuziwi tu kibubububu....unajua baadhi ya watanzania ni mabingwa sana wa kuongea kwanza jaribu then ndio uje hapa na details kuwa haiwezi...sio kusema wakati hujui....labda tu kwa taarifa yako nina uzoefu na computer zaidi ya miaka 15 na kazi zangu zinahusu hii makitu nafanya graphics na video editing. ..na ni mpenzi mkubwa wa game na ipo sehemu humu jukwaani nilifuangua kuhusu game....yaani sijaongea tu najua ninachokisema ndio maana nimesema humu jukwaani...samahani lakini mkuu mjombafujokamanimekukwaza.....nawasilisha.
Mkuu mimi natafuta pc moja kwaajili ya kazi za video, nitapata?. Hebu nipe specs zake na bei.
 
Back
Top Bottom