Chuo bora

tembophd

Senior Member
Jun 3, 2016
113
34
Wana JF
naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri....
Msaada tafadhar
 
Mjukuu wangu nakushauri ukasome moja ya vyuo hivi
1. Chuo kikuu Mzumbe
2. Chuo kikuu Dar es salaam
Tembelea tovuti zao kujua utaratibu wa kujiunga

site.mzumbe.ac.tz
www.udsm.ac.tz

Asante
Babu Kifimbo Cheza
 
Back
Top Bottom